99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Bei ya mafuta ya kimataifa yashuka tarehe 3

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 04, 2021

Bei ya mafuta ya kimataifa yanashuka tarehe 3.

Ulipofika mwisho wa biashara kwa siku hiyo, bei ya bidhaa za siku zijazo za mafuta ghafi mepesi zitakazofanya biashara mwezi wa Septemba kwenye ofisi ya biashara ya New York ilipungua kwa dola 0.70 za kimarekani, hatimaye bei yake ilifikia dola 70.56 za kimarekani kila pipa, kiasi cha kupungua ni 0.98%; bei ya bidhaa za siku zijazo za mafuta ghafi mepesi za London Brent zitakazofanya biashara mwezi wa Oktoba ilipungua dola 0.48 za kimarekani, na hatimaye ilifikia dola 72.41 za kimarekani kila pipa, kiasi cha kupungua ni 0.66%.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha