99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Marais wa Russia na Marekani kukutana tarehe 16 Juni

(CRI Online) Mei 27, 2021

Habari kutoka tovuti ya rais ya Russia leo zinasema, rais Vladmir Putin wa Russia na mwenzake Joe Biden wa Marekani watakutana mjini Geneva, Uswis mnamo tarehe 16 Juni.

Habari zinasema kuwa, marais hao wawili watajadiliana hali ya sasa ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili na mustakabali wake, utulivu wa kimkakati, ushirikiano kuhusu mapambano dhidi ya COVID-19 na kusuluhisha mgogoro wa kikanda.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha