Idadi ya vijana wanaofanya shughuli za kilimo nchini ni ya chini mno, limesema shirika lisilo la kiserikali (NGO) kutoka Amerika na ambalo huwapiga jeki na kuwahamasisha. Kwenye ripoti ya utafiti wa hivi karibuni ya Heifer International (HPI) uliojumuisha mataifa 11 barani Afrika, asilimia tisa pekee ya vijana wanafanya ufugaji wa kuku. Ripoti hiyo pia inaeleza kwamba ni asilimia 12 ya idadi ya vijana ndio wanaendeleza ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Takwimu hizo zinatia wasiwasi, HPI ikiony
Serikali imesema mwamko wa biashara na uwekezaji ni mkubwa kwa sasa baada ya baadhi ya makampuni na taasisi zilizokuwa zimefunga shughuli zao kuanza kurejea, na kwamba serikali kwa sasa inapitia upya sera yake ya uwekezaji ili kuweka mazingira bora zaidi ya biashara na uwekezaji. Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki jana jijini Dar es Salaam, alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania,J
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameagiza kuwa korosho zote zinazozalishwa katika mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi zisafirishwe kupitia bandari ya Mtwara kwa kuwa serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika bandari hiyo kwa kuikarabati na kuipanua. Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia amewaagiza viongozi wa bandari wapitie tozo zote zinazowakwaza wasafirishaji ili kuwavutia kuitumia bandari hiyo . Aidha, Waziri Mkuu amesema kuwa wakulima wakubali kupokea pembejeo kulingana na ma
Mtandao wa Treni za Metro wapanuka mjini Shijiazhuang, Hebei, kaskazini mwa China
Usafiri wa kwenda na kurudi wa Treni ya mizigo ya China-Ulaya kutoka kusini-magharibi mwa China wafikia mara zaidi ya 3,400
Meli ya kitalii "Star Voyager" yafanya safari ya kwanza katika Kisiwa cha Sanya, China
China yafanya gwaride kubwa la kijeshi kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa vita vya kupambana na uvamizi wa Japan na WWII
Uzuri wa Majira: Xiaoman
Simulizi kuhusu urithi wa kale--Nguo Sehemu ya Kwanza
Mchanuo wa Maua ya Rapa yenye Rangi ya Dhahabu Wachochea Utalii wa Wilaya ya Tongzi, China
Uzuri wa Majira: Kipindi cha Chunfen
Uzuri wa Majira: Kuamka kwa Wadudu