99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ukumbusho: Watu duniani kote waadhimisha miaka 80 ya ushindi wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 31, 2025

Kumbukumbu na ukweli wa historia havitasahauliwa kutokana na kupita kwa wakati. Vinaonekana kama kioo cha kuonesha hali ya hivi sasa na kuangazia siku za baadaye.

Mwaka 2025 ni maadhimisho ya miaka 80 tangu watu walipopata ushindi katika Vita vya Watu wa China vya kupambana na Uvamizi wa Japan na Vita vya Dunia vya kupinga Ufashisti.

Katika video hii, watu kutoka sehemu mbalimbali duniani wanaeleza maoni yao kuhusu athari za vita za muda mrefu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha