

Lugha Nyingine
Kusonga Mbele – Sehemu ya Tatu 3: Ushindi Kupitia Operesheni za Pamoja
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2025
"Kusonga Mbele: Ushindi Kupitia Operesheni za Pamoja" ni sehemu ya tatu ya mfululizo wa filamu kuhusu simulizi na moyo wa askari wa Jeshi la Ukombozi wa umma (PLA) wanapotekeleza majukumu waliyokabidhiwa na Chama na wananchi.
Filamu hii inaonyesha ushirikiano kwenye mapigano wa vikosi vyote vya jeshi la PLA. Kuanzia mashambulizi yaliyoratibiwa ya jeshi la majini na la anga hadi ujumuishaji wa vita ya kielektroniki, sehemu hii inaonesha jinsi jeshi la China linavyotumia nguvu zake kupitia ushirikiano wa kiutendaji usio na dosari.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma