

Lugha Nyingine
Kusonga Mbele – Sehemu ya Pili: ?Kujenga Nia na Kuongeza Ari
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2025
"Kusonga Mbele: Kujenga Nia na Kuongeza Ari" ni sehemu ya pili ya mfululizo wa filamu kuhusu simulizi na ari ya askari wa Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) wanaotekeleza majukumu waliyokabidhiwa na Chama na wananchi. Filamu hii inaonesha jinsi jeshi la PLA linavyolinda mamlaka ya nchi, jinsi walinzi wa China wanavyodumisha ujuzi wao kama chuma kigumu, kuchanganya teknolojia ya kisasa na azma thabiti ya kulinda nchi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma