99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

“Teknolojia Kisasa” zilizo nyuma ya filamu bora za China zenye mafanikio makubwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 22, 2025

Kuingia kwenye zama mpya za maendeleo ya kiviwanda ya filamu, kuzaliwa kwa filamu bora zenye kuvunja rekodi kwa mafanikio hakuwezi kutenganishwa kutoka kwa uungaji mkono wa teknolojia ngumu. Katika filamu maarufu za hivi karibuni za China, "The Wandering Earth II" na "Feng Shen", matukio kwenye skrini ambayo yalisisimua hadhira ya watazamaji, yamefichwa kwenye "kiwanda dhahania cha ndoto" – Eneo Maalum la Viwanda vya Filamu na Televisheni la Qingdao Oriental Movie Metropolis (Dongfang Yingdu) la China. Eneo hilo maalum la kiviwanda likiwa linachukua eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 170 si tu ni mahali pa kuzaliwa kwa filamu bora nyingi za China zinazopendwa na watu, bali pia limekuwa kituo muhimu katika ramani ya filamu duniani kwa nguvu zake bora za pande mbili za "hisia ya teknolojia na ukimataifa".

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha