99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China Inayosonga Mbele|Hataza 6297 Kutokana na Maendeleo Makubwa ?ya Kufanya “Uundaji kwa Teknolojia ya Juu”

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 21, 2025

Magari yakionyeshwa kwenye Kituo cha uvumbuzi wa dunia cha Magari ya Dongfeng. (Mpiga picha: Guo Tingting/People’s Daily Online)

Magari yakionyeshwa kwenye Kituo cha uvumbuzi wa dunia cha Magari ya Dongfeng. (Mpiga picha: Guo Tingting/People’s Daily Online)

Mei 19, ujumbe wa waandishi wa habari wa People’s Daily Online uliingia kwenye Kituo cha uvumbuzi wa dunia cha Magari ya Dongfeng kilichoko kwenye Eneo la Maendeleo ya Uchumi na Teknolojia la Wuhan kukusanya habari kuhusu namna gani Magari ya Dongfeng yanavyoongoza mageuzi ya viwanda vya magari kwa kutegemea uvumbuzi.

Kuingia kwenye Kituo cha uvumbuzi wa dunia cha Magari ya Dongfeng, timu ya watafiti yenye maelfu ya watu inafanya kazi kwa bidii usiku na mchana. Takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2024, maombi ya Hataza ya Magari ya Dongfeng yalifikia 6,297, yaliyofanikiwa ni karibu asilimia 200 na kuweka rekodi mpya katika historia. Zaidi ya hayo, Hataza mpya zilizoidhinishwa zilifikia 1,906, na kwa miaka mitatu mfululizo, idadi ya Hataza zilizoidhinishwa na kiwango cha uvumbuzi vya kituo hicho vimeendelea kuchukua nafasi ya kwanza kati ya makampuni ya magari yanayojitegemea ya nchini, ikionyesha nguvu endelevu ya uvumbuzi.

Kutoka kufuatia teknolojia ya wengine hadi kuongoza kwa kufuata vigezo, magari ya Dongfeng yanaonyesha hali ya kujitokeza kwa " Uundaji wa China" kutegemea nguvu ya teknolojia ya juu, ikianzisha hali mpya ya viwanda vya magari duniani.

Picha ikionyesha Betri Ngumu ya kizazi kipya yenye uwezo mkubwa. (Mpiga picha: Guo Tingting/People’s Daily Online)

Picha ikionyesha Betri Ngumu ya kizazi kipya yenye uwezo mkubwa. (Mpiga picha: Guo Tingting/People’s Daily Online)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha