99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kujua Michezo ya Dunia 2025 ya Chengdu kwa Dakika 5

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 08, 2025

Michezo ya Dunia (TWG) 2025 ya Chengdu itafanyika mwezi Agosti mwaka huu mjini Chengdu katika Mkoa wa Sichuan, China. TWG ni nini hasa, na ni aina gani ya michezo unaweza kuitarajia? Kutoka mpira wa mkono na kurusha kisahani, hadi sanaa ya kupigana na mashindano ya kuendesha boti zenye injini, video hii ya dakika 5 itakuambia kila kitu unachohitaji kujua kuhusu TWG 2025 Chengdu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha