99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kenya yazindua kampeni kuhamasisha fedha kwa ajili ya fidia ya migogoro?kati ya binadamu na wanyamapori

(CRI Online) Mei 08, 2025

Kenya imezindua kampeni ya siku 19 jana Jumatano kuhamasisha fedha kwa ajili ya fidia ya migogoro kati ya binadamu na wanyamapori.

Akizungumza na wanahabari mjini Nairobi, Waziri wa Utalii na Wanyamapori wa Kenya, Rebecca Miano amesema nchi hiyo inakabiliwa na madai 20,000 ya fidia yenye thamani ya shilingi bilioni 1.36 za Kenya (dola kama milioni 10.5 za Kimarekani) zinazosubiri kulipwa.

Kwa mujibu wa Miano, kampeni hiyo ya kulipwa fidia inatarajiwa kuhusisha maeneo yenye migogoro ya wanyamapori, yakiwemo Laikipia, Narok, Taita Taveta, Kajiado na Samburu.

Amebainisha kuwa nchi hiyo imejitahidi kuweka uwiano kati ya ulinzi wa urithi wa asili na mahitaji ya jamii zinazoishi karibu na makazi ya wanyamapori.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha