99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

人民網(wǎng)首頁(yè)

Habari

Afrika Kusini yalenga kuhimiza biashara kupitia jukwaa la BRICS

Naibu waziri wa biashara, viwanda na ushindani wa Afrika Kusini Zuko Godlimpi amesema nchi yake itahudhuria mkutano wa mawaziri wa biashara wa nchi za BRICS utakaofanyika mjini Moscow, Russia, ili kutafuta fursa ya biashara na uwekezaji. Godlimpi amesema siku ya Jumatatau, Afrika Kusini itaendelea kutafuta fursa za ushirikiano na nchi za BRICS, pamoja na ushirikiano wa pande mbili na ushirikiano kupitia jukwaa la BRICS, ambao utatoa fursa kwa bara la Afrika kuhamia kutoka nafasi yake ya kihistoria ya kuwa muuzaji malighafi na kuwa mzalishaji na muuzaji wa bidhaa zilizoongezwa thamani.

上一頁(yè)1 2 3 4 5